Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee patience humu mpo wawil bana...kuna mmoja ni.male...nimechanganya nisamehe bureHahahahaaa...
Eti Kagera,umeamua kunihamishia kwa kina Nshomile sio?
Thank you sis. Heri ya mwaka mpya na kwako pia
Usijali...aisee patience humu mpo wawil bana...kuna mmoja ni.male...nimechanganya nisamehe bure
yaah...basi kila siku nkikuonaga humu najua ni yeye..huyo ni msela wangu tunaonanaga kule fb
Asanteni wakuu much love to you all,Nashukuru sana mpendwa. Happy New year
Asanteni wakuu much love to you all,
Karibun pilau na maharage sasa kabla sijaimaliza.
Poayaah...basi kila siku nkikuonaga humu najua ni yeye..huyo ni msela wangu tunaonanaga kule fb
Unajua sio peke yake tu aliyekuwa na misconception ya kuwa wewe sio mwanamke?Nashkuru sana mkuu barafu...
Ni kweli kuwa mimi ni mwanamke.
Ubarikiwe na uwe na mchana mwema.
Au sio? baasi mjitahid muwahi nimewaachia wa kiaina tu usipotosha nitawaombea hata kwa jirani yangu hapa ni muhindi si unajuaga mapishi yao.Mudogo mudogo sasa mkuu wangu, usikwangue mpaka ukoko. Mie nishaweka na ndizi mfukoni, tupo njiani twaja.
-Kaveli-
Habari yako huko ulipo huhuh hi nahisi wajijua
Asante kaka yangu ,nawe pia.Unajua sio peke yake tu aliyekuwa na misconception ya kuwa wewe sio mwanamke?
Kiukweli hata mimi nimekuwa nikifahamu wewe ni kidume cha mbegu lakin kumbe sio daah, ila nina shukuru sasa hivi nimefahamu.
Nakupa hongera dada kwa kuuona mwaka.
asante..Asante kaka yangu ,nawe pia.
Hapana,simfahamu kaka yangu.asante..
Hili jina lako ni adimu sana sista na ndio maana linawachanganya wengi, binafsi mimi nimewahi kuona watu wawili tu wenye jina hili.
Kuna wajina wako anaitwa Patience Ozokwar unamfahamu?
Teh ni Ozokwor a.k a. "mama G" originale. Napendaga tu jinsi alivyo mtata, timbwili lake sio la bara hiliasante..
Hili jina lako ni adimu sana sista na ndio maana linawachanganya wengi, binafsi mimi nimewahi kuona watu wawili tu wenye jina hili.
Kuna wajina wako anaitwa Patience Ozokwar unamfahamu?
wanamwita mama G, G for general.Teh ni Ozokwor a.k a. "mama G" originale. Napendaga tu jinsi alivyo mtata, timbwili lake sio la bara hili