Tuambiane jamani...

Asee nimejikuta nacheka hapa hadi watu wakanigeukia...
Hahah!! Kuwa makini mkuu usifanye watu waikumbuke Milembe....

Ila unadhani jiwe akiwekwa na Malaika siatakua nikama mbuzi tu kwenye kundi la watu
 
Hahah!! Kuwa makini mkuu usifanye watu waikumbuke Milembe....

Ila unadhani jiwe akiwekwa na Malaika siatakua nikama mbuzi tu kwenye kundi la watu
Naamin hilo jiwe hata mafundi watalikataa sababu halifai kwa ujenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…