Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbwa koko.. hahahahaha hii kauli buanaUmeona eenh sio poa yaan huku unaezwa geuzwa mbwa koko
Hahah!! Kuwa makini mkuu usifanye watu waikumbuke Milembe....Asee nimejikuta nacheka hapa hadi watu wakanigeukia...
sana aiseh inafurahisha na kutia hasira kwa wakati mmojaNi ya kibabe hatar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naamin hilo jiwe hata mafundi watalikataa sababu halifai kwa ujenz
jiwe!! teh teh,,,Shauri yenu,si tuko bagamoyo twaelekea zanzibar then maskat pepon,bakini na jiwe lenu.
au mtageuzwa muishi kama mashetani,,Umeona eenh sio poa yaan huku unaezwa geuzwa mbwa koko