Seek Till Find
Member
- Feb 20, 2022
- 19
- 22
WanakujaWakuu, katika harakati nyingine ya kujiajiri.
Kuna hii idea ya car wash.
Sio vibaya kama tukipatiana details zote zinazozunguka hii biashara.
You know, stuffs kama vifaa, location ya biashara, expectaions za faida, changamoto, hasara, etc
Karibuni.
Sawa sawa boss, kwa wastani uliweza kuosha magari mangapi kwa siku..Hij nliwah kufanya pande za banan ukonga kwa miezi sita then nkasepa. Ilikua ipo poa..
Nami navutiwa na majibu ya swali hili.Habari wadau!!
Nimepata wazo hapa la kufanya biashara ya car wash, kwa mwenye uzoefu naomba ushauri wa hapa na pale, vitu vya kuzingatia na namna ya kuendesha biashara. Upatikanaji wa zile mashine, ipi ni mashine nzuri kwa kuanzia n.k