Tuambiane kuhusu biashara ya Car Wash

Tuambiane kuhusu biashara ya Car Wash

Joined
Feb 20, 2022
Posts
19
Reaction score
22
Wakuu, katika harakati nyingine ya kujiajiri.

Kuna hii idea ya car wash.

Sio vibaya kama tukipatiana details zote zinazozunguka hii biashara.

You know, stuffs kama vifaa, location ya biashara, expectaions za faida, changamoto, hasara, etc

Karibuni.
 
Wanakuja
 
Habari wadau!!

Nimepata wazo hapa la kufanya biashara ya car wash, kwa mwenye uzoefu naomba ushauri wa hapa na pale, vitu vya kuzingatia na namna ya kuendesha biashara. Upatikanaji wa zile mashine, ipi ni mashine nzuri kwa kuanzia n.k
 
Nami navutiwa na majibu ya swali hili.
 
Habari wakuu naombeni msaada wa namna ya kuanzisha car wash , faida yake ukiajiri kijana unalipaje au ukikodisha awe analaza shingapi kwa siku, pia changamoto zake.
 
Nataka nianzishe biashara ya mbao, je kwa mtaji wa shilingi milioni 10 unatosha kuanzia? Aliye na uzoefu anijulishe.
 
Habari waungwana,

Naomba mtu mwenye uzoefu au ujuzi wowote kuhusu biashara ya Car wash anisaidie kupata udadavuzi wa biashara nzima kwa ujumla kuanzia mtaji, maeneo, mashine zinazohitajika na jinsi inavotakiwa kufanyika…Ahsanteni
 
Ni biashara nzuri ila ina changamoto zake.

kabla ya yote hakikisha umefanya tafiti ya upatikanaji wa umeme na maji kwenye eneo ulilolenga kufanyia biashara.

Kuna mashine za diesel lakini sio best kama za umeme.

Biashara unataka uifanyie mkoa gani?
 
Back
Top Bottom