Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuona bado saana ulivyosema eti Rwanda wanatuacha bongo! Kulinganisha Tz na Rwanda ni kama mlima na kichuguu!Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda.
Mwenye uzoefu na watu hawa anaweza kunipa ushauri gani katika hili? Pia jamii zao zinawachukuliaje watz? Nilifika Kigali pako poa sana, jamaa wanatuacha hivi hivi mbele ya macho yetu yaani. Lakini kwa kuwa nilienda kikazi sikupata muda wa kujichanganya sana. Kwa hiyo hata kwa mtazamo tu wa kimaisha, nadhani siyo wazo baya kuoa kule.
Nakaribisha ushauri. Mapovu ruksa.