Tuambiane ukweli kuhusu lini ulianza kutumia Sanitizer

Tuambiane ukweli kuhusu lini ulianza kutumia Sanitizer

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Mimi nilikuwa tu nazisikia hata kuziona nilikuwa sijawahi kuziona. Nilikuwa naamini zitakuwa zinauzwa gharama kubwa sana kwa hiyo sikuwahi hata kuwa na muda wa kuzifuatilia. Hebu na wewe kuwa muwazi mara yako ya kwanza kutumia sanitizer ilikuwa wapi na lini.
 
Tangu 2005, wakati tupo porini. Tulikuwa tunatumia kusafishia mikono kabla ya kula chakula.
 
Kuna class mate kutoka South Africa kila akitoka toilet nilikua naona anatoa kachupa afu anajipaka kama mafuta hivi. Kuna siku nikasema naomba nitest. Vya baridiii. Sikumuuliza ata ni nini nikajua ni mambo ya mademu.

Corona ilipo kuja ndio nikakumbuka kua ilikua Sanitaiza.

So kuiona mara ya kwanza 2019 ila kuitumia March 2020.
 
Nimeanza kutumia kazini mwezi wa 1 2020 nikifika tu secretary ananiimiza kutumia
 
Kuna wengine mpaka sasa hatujawahi hata kuishika zaidi ya kuona kwenye simu, tv n.k
 
Daah sijawah aiseee pamoja na janga hili


Anyway hata hivyo alcohol ni sanitizer pia
 
Hata baada ya korona kuingia Tz, sijawahi kuitumia Sanitizer hata mara moja!
 
Back
Top Bottom