TUAMBIE AINA YA SIMU UNAYOTUMIA

TUAMBIE AINA YA SIMU UNAYOTUMIA

Zero IQ hebu njoo huku banaa udadavue simu yako. 😂😂😂

Na unavyojua kuipamba haya Uwanja ni wako. 😂😂😂😂
 
Comment kwa kuandika simu yako model yake unayotumia tujue Ni simu gani Kama Ni kampuni ya tecno au Samsung au iPhone mwisho wa siku tutajua simu gani inaongoza kutumiwa na Wana jf
Naanza Mimi mwenyewe jf naingilia ITEL. Itel A32F
Tecno C7
 
Mimi sina simu kabisa na hata sijawahi kumiliki hata moja.
 
Back
Top Bottom