Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

D-Ommy Ana Kura yangu asee. Akifuatiwa na Mafuvu BeibY
 
Nafikiri huyu ndio DJ bora na most expensive kwa sasa.
Ana uwezo wa ku-pull the crowd.
Mmh huwa anapiga sehemu nyingi? Maana naskia ni wa zamani.

Vipi kina kidylux naonaga wanapata show sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…