sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nafikiri huyu ndio DJ bora na most expensive kwa sasa.Dj AllyB 'Profesa'
Ana uwezo wa ku-pull the crowd.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri huyu ndio DJ bora na most expensive kwa sasa.Dj AllyB 'Profesa'
Yaani huwa akimix huwa zinatoka kelele ama 😀😀😀Wengi hatumuelewi hasa kwenye uchanganyaji wa nyimbo
Mmh huwa anapiga sehemu nyingi? Maana naskia ni wa zamani.Nafikiri huyu ndio DJ bora na most expensive kwa sasa.
Ana uwezo wa ku-pull the crowd.
Hivi kwenye simba Day alikuwepo?D-Ommy Ana Kura yangu asee. Akifuatiwa na Mafuvu BeibY
Sina hakika mkuuHivi kwenye simba Day alikuwepo?
Nadhani anazunguka nchi nzima uwa anapiga na nje ya nchi. Ndio DJ aliyeibust amapiano bongo.Mmh huwa anapiga sehemu nyingi? Maana naskia ni wa zamani.
Vipi kina kidylux naonaga wanapata show sana.
Halafu hawa wengine wakafuatia? Anaonekana anajua sana huyu.Nadhani anazunguka nchi nzima uwa anapiga na nje ya nchi. Ndio DJ aliyeibust amapiano bongo.
Nakazia hapa.Dj AllyB 'Profesa'
Ana vibe la hela yote...alafu anaijua playlist.Halafu hawa wengine wakafuatia? Anaonekana anajua sana huyu.