Tuambie huwa unanyoa mtindo gani wa nywele na kwanini?

Tuambie huwa unanyoa mtindo gani wa nywele na kwanini?

Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk

Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani, na kwanini unapenda mtindo huo?
Kijeshi
 
Moja ya madhara ya Kujichua ni kupata uwalaza, na kwasababu wewe ni mwenyekiti wa hii tabia siwezi kushangaa kusikia au kuona una uwalaza.
 
Moja ya madhara ya Kujichua ni kupata uwalaza, na kwasababu wewe ni mwenyekiti wa hii tabia siwezi kushangaa kusikia au kuona una uwalaza.
noma sana, mwendo wa dongo kila siku
 
Back
Top Bottom