NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Acha fujo basiiiShadeayano Mtangarimana. ππ
Halafu hili jina we si ndo umenipa. π π πAcha fujo basiii
Basi mamii, ruhusa kulitumia. Nimekumbuka manyota hayo nilikupa mwenyeweeeπππππHalafu hili jina we si ndo umenipa. π π π
Nimelikumbuka nikaone nikalitumie huko Burundi. π
Didier MbabentingirwaKatika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
Eeewaaa!!! πBasi mamii, ruhusa kulitumia. Nimekumbuka manyota hayo nilikupa mwenyeweeeπππππ