Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Aisee
 
Basi Kuna siku nilitumwa Sheri kununua mafuta ya taa sasa nikawa nimesahau ujazo unaotumika wa kupima vitu vyenye vimiminika basi nikamwambia yule jamaa anipimie mafuta kilo moja dah sitakuja kusahau siku iyo nilijiona boya Sana
 
Wale viongozi wote wanako nilikuwa nawanyoosha kuanzia O na A level au High school. Nilikuwa nafanya peke yangu maana nilijua nikimshirikisha mtu lazima siri itavuja tu.

Nilikuwa nategea watu wote wamekwenda prepo kusoma mimi naibuka naenda kuchota MAVI ya kutosha na kumwagia kitanda chake. Baada ya hapo naenda kwa wana mtaani siku mbili hata sionekani skonga.
Sasa Dom hakulaliki hata cku mbili maana mavi ya ugali na maharagwe nafikiri mnajua harufu yake.

Sasa kifuatacho huko skonga ni kupata tabu sana

Hapa ndo natoa hii siri, sijawahi kumwambia mtu yeyote.
 
Ulikua unayachota wapi afu ndo uchawi wenyewe O level we si mtu mzima lakini au ni utoto nao?
 
Haaaaahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....tucheze rede na vibamia tufanyeje sasa!??....una kibamia, kuhonga huongi unalia lia, mapenzi hujui, careless, hujui kubembeleza mpenzi, gubu,na mdomo mchafu! Nani akupende?

Afuu wanaume wenye kasoro wanapenda kutoa kasoro wanawake haoo yan unaweza had kumshangaa kiasi kwamba unafikiria hivi huyu nikianza kumchamba na kumtoa kasoro zake atapumua kweli?[emoji15] moyo unakwambia muonee huruma tu
 
Ulikua unayachota wapi afu ndo uchawi wenyewe O level we si mtu mzima lakini au ni utoto nao?
Nilikuwa na galoni ya lita 5 imekatwa na kufungwa na mti mrefu. Kama unafahamu vyoo vya nje wanaita open roof, open sky, free range, kata gogo etc.

Kupitia hii discipline viongozi wote wanoko waliacha kabisa maana ni kitu cha ajabu yenye kuacha maswali mengi
 
Mkuu, nilikuwa siungui kwa kuwa kitendo hicho nilikuwa nafanya kwa haraka sana. Kama ulishawahi kuona wale ndege wanaokulaga samaki kwa kutoka angani kwa kasi na kubeba samaki kwenye maji na kugeuka naye juu kwa kasi, huo ndo mfano wake sasa.
Hahhahaha hapo sawa mkuu
 
Haaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijawahi kucheka hivi toka nitoke tumboni mwa mamaangu! Ooooh Lord have a mercy haaaahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…