Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Haahaaaahaaa....kuna wale wengine eti kula na kunywa anahesabu amekuhonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee nachekaga! Yaan ukipata mwanaume anayehesabu vinywaji unavyokojoa na chakula baada ya mda unaenda chooni unaeza mnasa vibao eti!
 
Ndo mana sie makauzu huwa tunaamua kugawana pasu kwa pasu na wallet zao.
Maana najua hata baadae akitaka kunipa, hatanipa kama ninavyotaraji
 
Acha uongo
 
Mweeh! ulibemendwa sana asee!
 
Haaahaaaa....uwiiii
 
Nilichoma moto shamba lililokua karibu na sehemu kulipokua na msiba wee moto ukapamba mie huyooooo nikatokomea kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…