Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Ma mdogo bado yupo?
 
Jag Je Je Je Suis 6.6 v6u Je suis y 5rd4xr fh e,,,,,,, i(8k
 
Mkuu endelea
 
Alarm ya nini?
 
Mkuu stori zetu zinafanana, Mimi pia nilienda kwa mganga anipe ndele ili Lucy anipenda alikuwa ana miaka kama thelathini hivi kipindi hicho mimi nina miaka 13 au 14 . Bahati nzuri mama alinistukia, mganga wa watu hata hakuniuliza mara mbili mbili akanipa dawa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwili ukagoma kufuata kichwa na kichwa kikagoma kuufuata mwili.Mwili umemwaga mboga na kichwa kikamwaga ugali πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.Nakuvutia picha mkuu.Pole sana.
 
Mimi na mwenzangu tulivalia kabisa uniform za shule usiku ili asbh tukiamka tukimbie kuwahi shule.bahati nzuri mama alikuja usiku kabla hatujalala akatuona,[emoji23][emoji23]

Nilinunuliwa nguo mpya ,,usiku wote nawaza kukuche ili nivae wenzangu wanione.ilikua kesho yake Ni siku ya ibada..niliwahi kujiandaa,kwnda kuwapitia rafiki zangu alfajiri Sana ,,kufikA njiani nkakutana na mbwa[emoji1787]alinifukuza Sana ikabidi nirudi home ,,nafika nyumbani nguo ishatatuka mguuni kwa mbio
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakumbuka nilikuwa situlii home nikiludi school kazi kwenda kwa mafundi sherehani kuomba vitambaa vidogo vidogo,sahani ikivunjika home kwangu furaha 🀣🀣nipate vichupa vya kucheza kula mpaka nishikiwe fimbo home wakanipa Jina Umbo la ulimi jinsi nilivyo dhaifu napenda kucheza kuliko maelezo Mama kasema kachoka baba sio miongeaji wala mpigaji siku brother kanifungia kazi aisee sito sahau na utundu niliacha.
 
[emoji3] hahaha dogo kumbe bado unakumbuka kile kichapo nilicho kupigaga eh, na nilikudunda kipigo Cha mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…