Naona dogo anajitahidi sana French.Tehehhh.. Mkuu itakua ni mtoto amebonyeza bonyeza.. Ndo nagundua saa hivi. Lol..
Yaani, mwizi anasulubiwa nawewe unaiba hapo hapo?Nakumbuka walikua wanapiga wezi na kuwachoma.Walikuwa wawili watu wamekusanyika barabarani nami nkiwa mdogo.Kugeuka naona kuna Mzee alikuwa jirani yangu amevaa jacket refuu.Kuna shillingi noti za miambili miambili jumla mia nne.Basi nkazichomowa nkaondoka huku moyo unandunda nkazieka mwezi mzima chini ya jiwe la kusugulia miguu nlifunga katika karatasi ya plastic.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Darasa la sita tushamnusa sana makalio mwl mmoja hivi alafu rafiki yangu alikua mshenz anapiga na chafya kabisa. Kucheka ni mpaka Mwl atoe kichekesho ndo tunacheka hadi chini vipo vingi aiseh
Mafirauni kabisaDarasa la sita tushamnusa sana makalio mwl mmoja hivi alafu rafiki yangu alikua mshenz anapiga na chafya kabisa. Kucheka ni mpaka Mwl atoe kichekesho ndo tunacheka hadi chini vipo vingi aiseh
Safi sanaMimi kuna jamaa mlokole tulikuwa tunabishana kuhusu maandikon ya biblia...hadi mishipa ya shingo inatusimama, akaona isiwe shida akanivunja mkono.
Nzuriii mkuu! Tumekumiss sana jukwaani humuSalama tu mkuu.
Habari yako
Hujamtafuta uyo dada kulipa kisasi? Cha kukubemenda?Daaah mkuu we acha tu!! Ila nashukuru maisha yanaebdelea
Coco umesoma shule gani?Itabidi nijitahidi kupanga yapi angalau yawe top 3, ilikuwa [emoji6] na shuleni kitabu nakibamiza kama kawa.
Shule ya msingi ugonile mtaa wa majengo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya.Ukiniambia jina la shule au Mtaa/Kata/Wilaya/Mkoa uliosoma haswa shule ya msingi nitakuambia nami pia au sio nami.
Shule ya msingi ugonile mtaa wa majengo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya.
Wewe je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe UCCM umekupa matatizo mengi sanaMimi sijasoma huko wala kuishi huko.
Hahahaah dogo tena na ulivyo na vurugu za chinichini hao jamaa walipata taabu sana.Kuna siku niliwahi sana shule kabla ya mtu yeyote nikaenda kuandika matusi ubaoni kwa herufi kubwa. Kilichofuata hapo ilikua ni dimbo class nzima siku tatu mfululizo tumtaje alieandika. Hatimae wakatajwa washkaj wengine ambao walikuaga watunduwatundu na wakaamriwa kuita wazazi wao halafu ikagongwa kengele wakachapwa tena mbele ya shule nzima halafu wanafunzi wote tukaamrishwa kuwazomea. Kwa jinsi nilivyokua mpole walimu waligoma kama ni mimi naweza kuandika yale matusi ubaoni maana kuna jamaa mmoja alinitaja kwamba aliniona asubuhi natokea darasani akasema huenda mi ndio niliandika.