Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Utundu wa kwenda kuwazingua vichaa pale milembe ndogo, siku moja kidogo ututokee puani......

Tulikua tunavuka seng'enge tunaingia kwenye mabweni yao.... tunazingua wakianza kutukimbiza tunawachengesha..... kisha tunawapoteza maboya tunarudi kwenye seng'enge tunatoka..... kwa kweli sijui tulikuwa tunaona raha gani wakati ule......

Siku moja kumbe kuna mmoja mwenzetu aliyetutangulia akanaswa na seng'enge..... weeeeeeh!..... tuliparamiana..... kwa akili ya haraka sana nikapanda kwa juu badala ya kusubiri tundu......... wenzangu nao kuona vile na kwa vile wale vichaa wamekaribia.... wakaruka.... tukamuamuru mwenzetu avue kaptura(enzi zile hata chupi hatuvai)... hiyo ikawa pona yake.

Tangu siku ile kuna kichaa mmoja akawa habanduki kwenye lile tundu..... kumbe nao wakawa wanatoroka kupitia lile tundu letu hadi pale wahudumu walipogundua hilo tundu.
 
Nakumbuka nikiwa home nilitoboa ukuta wa toilet ukawa kama unamatundu ya risasi..
Asa ikawa kila mgeni akija nisomuelewa (mdada lakini) naenda kupiga chabo niliifaid sanaa misambwanda ya enzi izoo...
Wakioga wakikata gogo wakikojoa me nawakodo tuu...
Ikinipanda nagakika kabisa...
Nashukuru sikuwahi onekana asee
 
Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.

Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
Kucheza na nyoka
 
Hii ilinitokea pale nilipoona socket imevunjika, tulikua tunachomeka waya wa fridge...... sijui niliwaza nini siku hiyo.... actually tulishawahi kuonywa kuhusu umeme na tukaambiwa madhara yake... lakini mimi siku hiyo niliamua kushika ili nione madhara yake..... mkoni ulipigwa short moja matata sana lakini adrenaline ilikuwa inafanya kazi kwa ufasaha kabla haujafika kwenye bega nikawa nimetoa fasta... tangu siku hiyo nina heshima sana na umeme hadi pale ulipokuja kunitandika nikiwa darini nafunga alarm system... maana nilishuka na dari huku wenge limenikamata(ulikuwa ni uzembe mkuu ambao ilibidi nidanganye kilichotokea huko juu)
 
Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.

Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
Bado uko hai au ulikufa??
 
Nilishawahi kutosa madaftari ya shule kwenye mtaro wa maji halafu nikapaka shati pamoja na mwili matope nikarudi nyumbani nikadanganya nimeteleza kwenye mtaro ili nisiende shule yote hayo kwa ajili ya kuwahi fainali kombe la Big G
 
Hivi kwanini watoto wa Obay hatunaga story za dizaini hiyo!!!!!. Wa mkoa tulieni😎!
 
Mimi tumefanya mengi ila hili ni kiboko

Tulikuwa tunashusha kaptula kama kata ke alafu tunakaa kwenye madirisha ya nyumba ambazo haizijaisha mtu akipita anajua tunapiga story kumbe huku nyuma tuna kata gogo bila hofu kabisa
 
Niliwahi kukuta jamaa kaopoa demu wake mahali wamejibanza gizani.
Kwa akili zangu za utoto nikawafuata nikawastua kwa sauti ya kustukiza ya ghafla.

Jamaa akadhani amebwambwa akatimua mbio na demu wake naye mbio.

Baada kama ya dakika mbili jamaa akatulia akaangalia akakuta ni dogo ndio nimemzingua, hakukuwa na hatari yoyote.

Jamaa akanifukuzia kwa machungu akakinikamata, alinipiga mtama enzi hizo tunaita ngwala, nikabinuka juu chini, nilivyotua hewani nikapoteza network kama dakika tano.

Yaani network zilikata nikashindwa kujua ni wapi nilikuwa nimetokea na ninaelekea wapi.
Jamaa kuona vile hofu ikamshika maana anilijua ni dogo wa kitaa, alikuwa ananifahamu, akataka kusepa kwa uoga kuwa huwenda ameniumiza .

Baada kama ya dakika tano hivi network zikarudi.
Nikaamka nikaelekea nyumbani.

Tangu siko hiyo adabu ilinishika, sijawahi mpaka leo kumzingua mtu nikimkuta yuko kichochoroni na mchepuko wake aiseee
Hahahahahahahqa mkuu you make my day
 
Nilivunjika mkono aisee shukrani zimfikie Haridi Mbuke wa Ruaha Kilombero dah
 
Nilichukua bati nikamtahiri binamu yangu alikuwa (wakiume) mdogo kwangu. Nilichungulia wale wakunga wa jadi wanavyofanya nikajisemea kumbe kazi ndogo hivyo. Ilibidi mkunga wa jadi atafutwe haraka maana nilianza nikashindwa kumalizia
 
Yani mimi nilikuwa mtundu plus, yani nashukuru Mungu kwa neema yake hadi leo mi mzima wa afya, mi nilikuwa nina matukio ya utundu mengi hadi mengine nimeyasahau,
Mimi utundu wangu nilio kuwa ninaufanya mara nyingi ni kupanda vitu kama meza, friji, makabati etc, nilikuwa kila nikiteleza tu kutoka juu kilicho kuwa kinatangulia kufika kwenye cement ni kichwa, ila sijawahi kupata tatizo lolote zaidi ya manundu,
 
Back
Top Bottom