Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Nilishawahi kutosa madaftari ya shule kwenye mtaro wa maji halafu nikapaka shati pamoja na mwili matope nikarudi nyumbani nikadanganya nimeteleza kwenye mtaro ili nisiende shule yote hayo kwa ajili ya kuwahi fainali kombe la Big G
Haaaaaa daah jamaa we mbunifu
 
Mimi tumefanya mengi ila hili ni kiboko

Tulikuwa tunashusha kaptula kama kata ke alafu tunakaa kwenye madirisha ya nyumba ambazo haizijaisha mtu akipita anajua tunapiga story kumbe huku nyuma tuna kata gogo bila hofu kabisa
Haaaaaaaaa mkuu kwelii mlikuwa mnajisafisha??
 
Nilichukua bati nikamtahiri binamu yangu alikuwa (wakiume) mdogo kwangu. Nilichungulia wale wakunga wa jadi wanavyofanya nikajisemea kumbe kazi ndogo hivyo. Ilibidi mkunga wa jadi atafutwe haraka maana nilianza nikashindwa kumalizia
Duuuh, hatariiii sanaa ulitakiwa usomee udaktarii
 
Duuh, uliunganishaje mkuu? Afu simu zipi hzo
 
Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]

Duuuuh weee kweli chizi

Kwetu kulikuwa na mfanyakazi na udogo ule nilikuwa namtia vidole kisha nanusa alafu naenda kunawa kisha namtia kidole kisha nanusa kisha naenda kunawa
 

Duuuh network ikashuka ghafla kutoka 4g mpk E
 
Duuuuh weee kweli chizi

Kwetu kulikuwa na mfanyakazi na udogo ule nilikuwa namtia vidole kisha nanusa alafu naenda kunawa kisha namtia kidole kisha nanusa kisha naenda kunawa
Haaaaaa afu yeye alikuwa anafanyaje
 
Mtaani kwetu sijui ilikuaga vip tulianzisha kuiba maua ya kwenye makopo yaani tulikua tunaenda mtaa wa mbali jioni kundi zima la watoto wa mtaa wetu tunaenda kuiba maua mtaa wa mbali kidogo na kwetu , basi mtaa wetu ulijaa maua mpaka wazazi wakashangaa inakuaje kila nyumba ya mtaa huu imejaa maua yaani kulipendeza sana , sasa madogo wa mtaa huo wakagundua nao wakawa wanakuja kuiba mida ya usiku , wanabeba maua yote wanaamisha kwao kesho yake na sisi tunafanya hivyo hivyo , ikabidi tuunde kamati ya ulinzi ya watoto wa pale mtaani , kuna maua yalikua adimu kupatikana ikifika usiku tulikua tunaamishia ndani kwa siri wazazi wasione iliyasiibiwe , basi ikawa trend karibia mitaa yote watoto wakaanza kuiba maua na kuzungushia kamba wazaz walikua wanashangaa hiki ni kitu gani yaani ilikua baraa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…