SUASO
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 770
- 1,192
Haaaa daah we kweli geniusnilifua nguo za shule na maji ya moto ili ziwah kukauka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa daah we kweli geniusnilifua nguo za shule na maji ya moto ili ziwah kukauka
Haaaaaa daah jamaa we mbunifuNilishawahi kutosa madaftari ya shule kwenye mtaro wa maji halafu nikapaka shati pamoja na mwili matope nikarudi nyumbani nikadanganya nimeteleza kwenye mtaro ili nisiende shule yote hayo kwa ajili ya kuwahi fainali kombe la Big G
Haaaaaaaaa mkuu kwelii mlikuwa mnajisafisha??Mimi tumefanya mengi ila hili ni kiboko
Tulikuwa tunashusha kaptula kama kata ke alafu tunakaa kwenye madirisha ya nyumba ambazo haizijaisha mtu akipita anajua tunapiga story kumbe huku nyuma tuna kata gogo bila hofu kabisa
Alifanyaje Harid?Nilivunjika mkono aisee shukrani zimfikie Haridi Mbuke wa Ruaha Kilombero dah
Duuuh, hatariiii sanaa ulitakiwa usomee udaktariiNilichukua bati nikamtahiri binamu yangu alikuwa (wakiume) mdogo kwangu. Nilichungulia wale wakunga wa jadi wanavyofanya nikajisemea kumbe kazi ndogo hivyo. Ilibidi mkunga wa jadi atafutwe haraka maana nilianza nikashindwa kumalizia
Duuh, uliunganishaje mkuu? Afu simu zipi hzoNilipanda kwenye nguzo ya simu Nikaunganisha waya tukawa tunapigisha simu ulaya, matokeo yake siku moja likpita gari ya polisi ikakuta watu wamepanga foleni wakisubiria kupiga simu baadhi walidandiwa wakapelekwa jela akiwemo mjomba wangu aliyekuwa akikusanya hela bimkubwa akaamua kunihamisha shule niende boarding kukimbia kesi maana kuna watu walinitaja kuwa ndio ninaeunganisha waya!
Mie niliwahi kubakwa.
Ila sikujua kama ilikuwa mbele au nyuma.
Duuh akili inayumbaaa??Huyo jamaa anakaa mtaani kwetu huku Mabibo Loyola, amekuwa mwez mchanaga, anaitwa Sultan
Alinibeba akanipeleka home aiseeAlifanyaje Harid?
yani mkuu maumivu yake usitamani kuyajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
Haaaaaaa alikushtukiaaa haaaaSiku nilipojaribu kwenda kupokea ekaristi takatifu kanisani tupo kwenye folen katekista alinivuta kama umeme
Hapo kwelii ulivamiaaNina miaka sita kipindi hicho
Niliwahi kukuta jamaa kaopoa demu wake mahali wamejibanza gizani.
Kwa akili zangu za utoto nikawafuata nikawastua kwa sauti ya kustukiza ya ghafla.
Jamaa akadhani amebwambwa akatimua mbio na demu wake naye mbio.
Baada kama ya dakika mbili jamaa akatulia akaangalia akakuta ni dogo ndio nimemzingua, hakukuwa na hatari yoyote.
Jamaa akanifukuzia kwa machungu akakinikamata, alinipiga mtama enzi hizo tunaita ngwala, nikabinuka juu chini, nilivyotua hewani nikapoteza network kama dakika tano.
Yaani network zilikata nikashindwa kujua ni wapi nilikuwa nimetokea na ninaelekea wapi.
Jamaa kuona vile hofu ikamshika maana anilijua ni dogo wa kitaa, alikuwa ananifahamu, akataka kusepa kwa uoga kuwa huwenda ameniumiza .
Baada kama ya dakika tano hivi network zikarudi.
Nikaamka nikaelekea nyumbani.
Tangu siko hiyo adabu ilinishika, sijawahi mpaka leo kumzingua mtu nikimkuta yuko kichochoroni na mchepuko wake aiseee
me nilikua najifungia chumbani kisha nakunya kwenye mfuko mweusi
then naenda tupa jalalani
Haaaaaa hilo konzi nazan nizaid ya virusAlinipa banzi hilo, alivyonimalizia na konzi zito mpaka kichwa kiliji format
Data zote zilifutika, kichwa kikarudi katika Factory Setting
Oooh, alifanya vemaAlinibeba akanipeleka home aisee
Haaaa yalikuwa hayana kipimoyani mkuu maumivu yake usitamani kuyajua
Haaaaaa afu yeye alikuwa anafanyajeDuuuuh weee kweli chizi
Kwetu kulikuwa na mfanyakazi na udogo ule nilikuwa namtia vidole kisha nanusa alafu naenda kunawa kisha namtia kidole kisha nanusa kisha naenda kunawa