Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Siku moja tumeenda kanisani Na ahangazi. Tukawa tumechelewa tukakaa bench la mwisho ukutani Na wamama kadhaa. Wakati wanaaimama kusali baba yetu uliyembinguni nikaingiza mkono ndani ya sketi ya mama Fulani kwa chini huku mm nilikua nimekaaa nikamshika uchi wake aliniangalia akanipotezea. Nadhani alipenda nilichomfanya
 
Ilikua siku ambayo sitaki kuoga naficha sabuni zoote .... Na maza kunkomesha alikua ananunua sabun ya unga na haus gel anansundikiza hiyo sabun machon hata dakka mbili ... Kwa hasra ... Naiba chup za haus gel naenda kumpa ka rafk kangu ka kike anazvaa tunapocheza baba na mama ... Aisee ukichwa mbovu unansumbua mpk leo
 
Wakuu sijui ni utundu,laana,au bahati..
Nimegegeda karibia robo tatu ya ndugu zangu kasoro tuliotoka tumbo moja coz nilikua sina madada.
Shangaz,madogo,watoto was makubwa,binaam,mandugu kiukoo.
Tens nimeanza Niko chini ya miaka 10 nagegesa watu wazima ndugu zangu. Had I nimekua nimeendelea kuwagegeda ndugu zangu had I wanalazimisha eti niwaoe.
Siwatongozi kabisa. Mgeni wa like akija home basi lazima awe Mali yangu Na sijawahi tongoza kwenye historia ya kugegeda.

2013 nilimgegesa shangaz baba Na babu wakajua nilikua bonge la soon
Mwaka huh tu ndo imebidi nilazimishe kuachana Na mtoto wa binaam haelew kitu juu yangu
pl
 
Niliwahi kukuta jamaa kaopoa demu wake mahali wamejibanza gizani.
Kwa akili zangu za utoto nikawafuata nikawastua kwa sauti ya kustukiza ya ghafla.

Jamaa akadhani amebwambwa akatimua mbio na demu wake naye mbio.

Baada kama ya dakika mbili jamaa akatulia akaangalia akakuta ni dogo ndio nimemzingua, hakukuwa na hatari yoyote.

Jamaa akanifukuzia kwa machungu akakinikamata, alinipiga mtama enzi hizo tunaita ngwala, nikabinuka juu chini, nilivyotua hewani nikapoteza network kama dakika tano.

Yaani network zilikata nikashindwa kujua ni wapi nilikuwa nimetokea na ninaelekea wapi.
Jamaa kuona vile hofu ikamshika maana anilijua ni dogo wa kitaa, alikuwa ananifahamu, akataka kusepa kwa uoga kuwa huwenda ameniumiza .

Baada kama ya dakika tano hivi network zikarudi.
Nikaamka nikaelekea nyumbani.

Tangu siko hiyo adabu ilinishika, sijawahi mpaka leo kumzingua mtu nikimkuta yuko kichochoroni na mchepuko wake aiseee
Hahahaaa daaah mbavu zangu hahahaaa
 
Siku moja tumeenda kanisani Na ahangazi. Tukawa tumechelewa tukakaa bench la mwisho ukutani Na wamama kadhaa. Wakati wanaaimama kusali baba yetu uliyembinguni nikaingiza mkono ndani ya sketi ya mama Fulani kwa chini huku mm nilikua nimekaaa nikamshika uchi wake aliniangalia akanipotezea. Nadhani alipenda nilichomfanya
ww muohongo
 
Ulikuwa bado ujazaliwa wewe....., ki ukweli tumetoka wengine background zetu ni ****** tumefika hapa kwa neema !
Tukio lako lulikuwa maarufu sana. Sikuwepo lakini nililiskia na lilivuma sana ktk maskani nyingi.
 
Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na nyaya za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umeme, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.

Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!

Niliwahi Kuchoma NYUMBA ya jirani

ule mchezo wa kuchukua dawa ya MBU alafu unaweka kiberiti kwa mbele alafu unawasha...hehehe Bado kidogo nifungwe

tukio la pili nilikoswa koswa na kuungua maji ya MOTO kichwani kwa sababu ya UBISHI

beki3 aliyaficha juu ya kabati.. nimetoka mpirani nikaona asinitanie.. nikayapandia hukohuko juu kumbe sufuria lilijaa maji.. yakanikosa kichwani yakaangukia tumboni.. *****.. KIDONDA kilitokea mpaka KIKAPONA,,, hakuna aliyejua... mamaeee... mpaka leo sina kovu.. no ASALI.. no medicine.. mwendo wa kavukavu na nilipona fresh
 
Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na nyaya za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umeme, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.

Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
Mkuu utimamu wa bamia yako kwa sasa upoje? Madhara hayajawa ya muda mrefu?
 
Mi nlikua bingwa wa manati, masaa yote ipo kiunoni kama bastola, nlikua mpaka nalala nayo usiku.. nshapiga sana watu za vichwa, ila kuna siku nlimpiga jamaa muuza nyanya, alinikimbiza akanipa bonge la banzi(kibao) halafu akanimalizia na konzi zito kweli, kwanza nlizunguka kama mara saba pale pale kabla ya kukimbia.... Sintosahau
Duuh huyo jamaa hatarii kwa afya
 
Kuna siku niliwahi sana shule kabla ya mtu yeyote nikaenda kuandika matusi ubaoni kwa herufi kubwa. Kilichofuata hapo ilikua ni dimbo class nzima siku tatu mfululizo tumtaje alieandika. Hatimae wakatajwa washkaj wengine ambao walikuaga watunduwatundu na wakaamriwa kuita wazazi wao halafu ikagongwa kengele wakachapwa tena mbele ya shule nzima halafu wanafunzi wote tukaamrishwa kuwazomea. Kwa jinsi nilivyokua mpole walimu waligoma kama ni mimi naweza kuandika yale matusi ubaoni maana kuna jamaa mmoja alinitaja kwamba aliniona asubuhi natokea darasani akasema huenda mi ndio niliandika.
Haaaa mkuu ulijisikiajee??
 
Nilikuwa na tabia 'mbaya' pindi nikitoka tu shule mchana, naishia sebuleni natupa begi langu then badala ya kukagua ma-hot pot mimi naenda jikoni moja kwa moja, naigusa plate ya jiko la umeme ( kama ni mkaa basi nadumbukiza mkono kwenye sufuria ya majivu ya kuhifadhia moto).
Nikihisi ujoto joto kwa mbaaaali basi najua chakula kipo so naenda chumbani kula (chakula tulikua tunawekewa chumbani moja kwa moja) na nikihisi ubaridi basi najua chakula hamna ko nafanya maarifa ya kumenya viazi mapemaa kabla ya kuingia room.

Sasa kuna siku nimerudi tu nyumbani kama kawaida nikafanya 'kamchezo kangu', mama weeeee kumbe jiko limetokwa kuzimwa muda si mrefu, kiganja chote kiliungua kikawa flat, prints zote za kwenye viganja zilifutika kikawa kama kichwa cha 'mjusi kafiri'. Daaaah, sijui nilikuwa nawaza nini mjinga mimi
Duuuh pole sanaaaa
 
nilikuwa napita sana madirishani kama tumefungia ufunguo ndani(madirisha yenye nondo) siku moja wakati naingia kichwa kilipita vizuri sehemu ya mwili iliyobaki iligoma ikabidi niwaze kutoka kwanza, wakati nataka kutoa kichwa nacho kikagoma kutoka nilihangaika siku hiyo mpaka baba alipokuja akatoa msaada kipindi hicho masikio yalishachemka kama tecno ukiitumia kwenye chaji😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom