Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Nakumbuka nilikua navua samaki sasa usiku tukapika mchanganyiko wa samaki hao yaani clambake,viperege na dagaa tukala na supu nyingine ikabaki asubuhi tukaipasha na wakati tunaendelea kula akafika mwenzetu katokea kijijini na ma hang'ova yake na akaomba tumwachie na yeye apate kushtua supu hiyo basi kiroho safi tukampa ile anakunywa supu ile ya mwishomwisho mara akaweka sufuria chini na kusimama huku akitulaumu kuwa kwa nini tumemlisha nyoka ile kwenda kushuhudia duh kila mtu haamini wenye mioyo midogo wakaanza na kutapika maana tulichokutana nacho ni magamba na vipande vya nyoka lkn hakuna aliepata madhara
 
Mama yangu alikuwa ngumu sana kututuruhusu kucheza nje na siku akituruhusu lazima tufanye au tushiriki kwenye janga la kutosha kusimulia mtaani. Tulikuwa tunaishi jirani na wahindi wengi kuna siku mhindi mmoja alitembelea jamaa zake pale akaegesha gari lake akaingia ndani. Nikajaribu kama kusukuma lile gari likawa linaenda, baada ya kuona gari linaenda sijui wazo lilipotoka ila tukaanza kulisukuma mpaka mtaa mwingine, njiani watoto wa kusukuma gari wakawa wanaongezeka tu, baadae gari likaja kugota sikumbuki kwenye kitu gani likawa halisogei tena, dogo mmoja akatoa wazo tutoe upepo kwenye matairi, tukazibua matairi yote...halafu unaweka sikio pale unapotoka upepo, kichapo nilichopata siku hiyo kimenisahaulisha hata mwaka wa hilo tukio.

Siku nyingine gari ya mlevi mmoja hivi iliponea chupuchupu maana kuna mtu alitukurupusha na tukaiishia kuutupa moto tuliokuwa tumeshika kwenda kuutupa chini ya gari, lengo letu ilikuwa tujue nini kitatokea baada ya kuweka ule moto chini ya gari.
 
Matukio mawili
1.nikiwa darasa la tatu au nne nilienda kwa mganga wa kienyeji kutafuta Dawa ya kupendwa na mwanamke aitwaye Lucy..
Nilikuwa nampenda Sana Lucy . Kabla sijapewa dawa nilishtukiwa na mama nilipgwa Sana..

2.nilimtongoza mama mjane mtu mzima umri Kama wa mama yangu mama akanichenjia kanipeleka kwa baba nikala vibano vingi sana
Ulitongoza ukiwa na umri gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna siku mama mdogo akatutembelea nyumbani kwetu enzi hizo

Wakati wa usiku wakamwambia alale na mimi ,na kipindi hiko nina miaka 10 tu.Usiku nikashtuka nipo na mtu kitandani wakati nilizoea kulala mwenyewe.Nikashuka kitandani nikawasha taa nikamkuta mama mdogo shuka lake limefunuka lote na kabali na chupi tu.Nikajikuta nashikwa na hisia kali kama zile alizokuwa nazo bashite alipoambiwa alipie yale makontena.

Nikazima taa halafu taratiibu nikazama kitandani nikajifunika shuka langu nikaanza kuwaza.Akili ikanimbia muegemee uone atafanyaje.Nikamuwekea mguu juu ya kiuno chake kwa madai kwamba sina fahamu yani nipo usingizini(nilikuwa na sifa ya kuwapiga watu mateke usiku bila kujua,nilikuwa mcheza soka na michezo ya kupigana tu).

Mama mdogo akatulia tuli,nikaweka mkono,akatikisika halafu nikajifanya sielewi chochote yani nipo usingizini.Akautoa mkono wangu akajifunika shuka yake upya.Sasa awamu hii kanipa mtihani wa kumfunua shuka hahahah.

Nikasema hapa sikwami.

Nikaingiza mkono ukatua juu ya tako tena ngozi kwa ngozi.Nikaona ananyoosha miguu na ndio hapo hapo nikaushusha mkono mitaa ya ikweta ili niingize hata kidole ninuse(utoto bhana ).


Nikaweza ifikia ile wanaita KYUMA.Nikajifanya sasa ndio huu mkono ukae tu hapo.Nikauacha hapo nikajifanya sielewi chochote , nae akatulia na kama dakika 5 hizi nikaingiza kidole na nikasikia bonge la kofi la sura paaaaaaaaaaa.Nikasema hapa fahamu zikinirudi tu huu msala ninao asubuhi .

Aliponipiga kofi nikajifanya nipo usingizini na macho sifungui na wala sijibu kitu na hata sijiweki vizuri.

Mama mdogo akakaa kitandani ananiangalia kwa hasira huku kawasha taa.Me hapo nimelala kimya wala sisikii kitu.

Akanibeba akanilaza chini kwenye baridi(hapa aliniweza maana nilikutana na mbuu wanaojua majukumu yao vizuri,bora ung'atwe na nyuki ila sio wale mbuu ).

Akanionea huruma akanirudisha kitandani halafu akaniamsha."Wee G umefanya nini? " nikajibu "hilo daftari sio langu" hahaha mungu mkubwa maana Mama mdogo alinisamehe kila kitu usiku huo huo.Asubuhi nikampa shikamoo yake then nikavaa nguo zangu za shule nikazama zangu SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU.

Tumetoka mbali sana
 
Si wengine mama zetu walitukanya, walivoona ni wadhaifu sana kwa wa dada kama nyie. Wanahofia tutahonga mpaka hati za nyumba za wazee wetu na mpaka vyombo vya jikoni kama vipi

Hebu tuhurumie dada[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Asa aliyekwambia katika dunia hii kuna mwanamke asiyependa starehe ni nani?
Hebu usinikaushe uzazi mwanawane.
Kwahyo sisi wenye vibamia hututaki.
Mie katika vitu vinavyonitia kichefuchefu ni kibamia.
Bora uwe na kibamia ila uwe muhongaji, sasa utakuta mwanaume pesa huna, una kibamia na mbaya zaidi una furu.
Asa si bora uwe shoga tu....ununuliwe.
Mie sitaki kibamia
Bado unaipenda ?
Naipenda.
Afu unajua ile ni tamubsana kama utapata wanaume wanaojua kusimamia show.
Yaani unaweza jikuta unakojoa tu kama paka shoga
Mkuu hebu muacheni Madame B, wengine tuna presha za karibu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahhh....mie nawaangalia tu.
Leo wameamua kunikamia aisee
 
Asa aliyekwambia katika dunia hii kuna mwanamke asiyependa starehe ni nani?
Hebu usinikaushe uzazi mwanawane.

Mie katika vitu vinavyonitia kichefuchefu ni kibamia.
Bora uwe na kibamia ila uwe muhongaji, sasa utakuta mwanaume pesa huna, una kibamia na mbaya zaidi una furu.
Asa si bora uwe shoga tu....ununuliwe.
Mie sitaki kibamia

Naipenda.
Afu unajua ile ni tamubsana kama utapata wanaume wanaojua kusimamia show.
Yaani unaweza jikuta unakojoa tu kama paka shoga

Ahhh....mie nawaangalia tu.
Leo wameamua kunikamia aisee
Haaaahaaaa....Ila we bidada unaongeaga naked truth tupu!

Eti hela huna, una kibamia , gubu, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ...bora uwe gasho ijulikane moja! Extremely truth[emoji122] [emoji122]
 
Nilikuwa na tabia ya kukaa jirani na karai la kuchomea kukaangia chipsi, jamaa akizubaa tu naingiza mkono kwa karai kuzichomoa zikiwa zinachemka kwenye mafuta na kuzitafuna. Nilikuwa nafanya zoezi hili kwa weledi mkubwa sana sikuwahi kustukiwa na mchoma chipsi huyo.
Mikono yako ilikiwa na sugu aisee, hukuwa unaungua?
 
Back
Top Bottom