Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
asante 😀Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante 😀Pole
For your information, wafanyabiashara wote wakubwa wana madeni ya kufa mtuKukopa ni roho ya ufukara.
Hadi unakopa kwa ajili ya vocha, hapo huitaji terminologies za vicious circle of poverty kujua kuwa upo BROKE.Yaani unakuta mtu anakopa ili aweze kulipa mkopo wa bundle ili aweze kukopa tena.
Ni kamzunguko flani cha umaskini unaweza usikione kwa urahisi (vicious cirlce of poverty)
Mtandao gani nijiunge?Leo tuone kiwango chako cha kukopeshwa na songesha ni sh ngapi?View attachment 3224957
Unachezea K sitini? 🤣🤣🤣🙌
Mm nachezea kwenye 60k
Mmi kote nishayatimba sikopesheki.Sisi ambao hatukopesheki tunasoma tu comments.
Kunywa maji mengi sanaUnakuja kujisifia na ufukara ? Yani mpk ufike kiwango hicho wewe ni mkopaji Pro max! Unakopa mara kwa mara mpaka umefikia hicho kiwango! Deni sio zuri, sio kitu cha kujisifia ni vile tu kuna mda mambo yanakwama !