Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Tuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIli ni jambo binafsi kulingana na maoni,mtazamo wangu ,matarajio na malengo hivyo haifai kuwa ni jambo la kushawishiana ama kupiga au kuto kupiga.Ila kila mtu akili kumkichwa unaweza mwambia hutompigia na utasemezana na ndugu marafiki na jirani kwa kuwa ama unaona hana uwezo,ama hafai ama kwa itikadi kwa mujibu wa imani yako,ama nia njema kwa taifa na watu wake,uka kuta mhuni anakukadiria ununio inakutosha.Tuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?
Tatizo Kizmkazi. kauza bandari na kuwatesa wamasai.Toto afya kadi.imefutwa..mafisadi wameongezeka baada ya magu kufaTuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?
Tume sio huru ni Mali ya maccmTuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?
MAINZI YA KIJANI NI MAJIZI ...ZIKIJA KURA ZA DIGITAL NITAANZA KUPIGA KURA.Tuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?