LGE2024 Tuambie kwanini hutopiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

LGE2024 Tuambie kwanini hutopiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Niwe serious kabisa sijui kazi ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa
 
Uchaguzi wa Venezuela ni maigizo , kamwe usishiriki mshindi anafahamika achana na staged drama
 
Kuenda kupiga kura ni kwenda kuhalalisha ufisadi wa kidola ambao umedhibitiwa barabara na Kikundi cha watu wachache kupitia chama kikongwe kilichohodhi hata mamlaka ya mihimili mingine.
Bila kuwa na Katiba mpya, bila kuwa na Serikali ya Tanganyika, bila kuwa na Tume ya uchaguzi iliyo huru, kwenda kupiga kura ni uhayawani unaoweza kufanywa na watu wasiofiri vizuri.
 
Tuambie kwanini hutopiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jumatano?
Kupiga kura isiyoheshimiwa ni kupoteza muda.Hata vyama upinzani wangeachana na chaguzi hizi.Uenyekiti wa mtaa ,kijiji na kitongoji unaua MTU! ccm ni mashetani.Sikujiandikisha na Jana nilipumzika nyumbani.
IMG-20200726-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom