Kuenda kupiga kura ni kwenda kuhalalisha ufisadi wa kidola ambao umedhibitiwa barabara na Kikundi cha watu wachache kupitia chama kikongwe kilichohodhi hata mamlaka ya mihimili mingine.
Bila kuwa na Katiba mpya, bila kuwa na Serikali ya Tanganyika, bila kuwa na Tume ya uchaguzi iliyo huru, kwenda kupiga kura ni uhayawani unaoweza kufanywa na watu wasiofiri vizuri.