Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Simu sio mtambo inaweza kuwaka 24hrsCha kuzima ni data tu, simu itajizima yenyewe ikifika muda fulani usiku wa manane na kujiwasha ili nayo ipate wasaa wa kupumzika.
Yaah ila inashauriwa sometimes izime au set ijizime na kujiwasha yenyewe.Simu sio mtambo inaweza kuwaka 24hrs
Usiwe unazima simu usiku...Ukiwa huna hela sidhan kama familia i takutafuta yaan wanitfute mim hoe hae
Akili mgandoKuna wale kutwa usku wako na wapenzi wao
KwaninUsiwe unazima simu usiku...
Umesema vizur hakuna Cha kupoteza switch OffMtu anaezima simu usiku huyo hana chakupoteza, yani hajali chochote, na shart la kwanza, usiwe na familia