Tuambie msosi unaoukubali sana

Wali wa nazi kwa samaki za nazi
Ama ugali kwa dagaa[emoji39][emoji39]


Ugali dagaa hata mimi napenda ila sio unaweka mchuzi mwingi ukitumbukiza tonge inameguka huku dagaa wanapiga chenga kama unavua ziwani.

Dagaa likiwa dikodiko la nazi utanipata.
 
Hivi uwa najiuliza kuhusu io jina ako kwanini ulijiita ivo?

Sasa we jamaa hapa tunaongelea misosi au majina mkuu? Ukitaka ufatifi wa hizo mambo anzisha uzi mwingine tafadhali. We umeulizwa kwa nini unajiita katib mkoa ?

Alaf kati ya watu woooote umeona carbamazepine ndio umuulize...kaa kwa tahadhari. Sifikirii utapenda kuchezea BAN ya mwaka
 
Nisamehe chifu io jina iko na kitu kwenye maisha yangu na pm yake kafunga
Ndo nkamuuliza hapa
 
Ugali dagaa hata mimi napenda ila sio unaweka mchuzi mwingi ukitumbukiza tonge inameguka huku dagaa wanapiga chenga kama unavua ziwani.

Dagaa likiwa dikodiko la nazi utanipata.
Hivi unapikaje dagaa wenye mchuzi?[emoji23][emoji23]
 
Ila chifu umekuja kibabe sidhani kama ungefanya jambo ilo kama ungekua unanifahamu
Usimshushe usie mjua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mkwara huu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…