carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Karibu maana napika wali maharage(vyote kwa nazi)
Wali ndondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wali ndondo
Wali wa nazi kwa samaki za nazi
Ama ugali kwa dagaa[emoji39][emoji39]
Karibu maana napika wali maharage(vyote kwa nazi)
Hivi uwa najiuliza kuhusu io jina ako kwanini ulijiita ivo?Wali wa nazi kwa samaki za nazi
Ama ugali kwa dagaa[emoji39][emoji39]
Hivi uwa najiuliza kuhusu io jina ako kwanini ulijiita ivo?
Nisamehe chifu io jina iko na kitu kwenye maisha yangu na pm yake kafungaSasa we jamaa hapa tunaongelea misosi au majina mkuu? Ukitaka ufatifi wa hizo mambo anzisha uzi mwingine tafadhali. We umeulizwa kwa nini unajiita katib mkoa ?
Alaf kati ya watu woooote umeona carbamazepine ndio umuulize...kaa kwa tahadhari. Sifikirii utapenda kuchezea BAN ya mwaka
Yaani huwa hakichoshiKaribu kwenye chama. Chakula pekee nisichokikinai. Ntakula kutwa mara tatu, inamaana kuanzia asubuhi na chai ya rangi kisha milo miwili inayofuata.
Hivi unapikaje dagaa wenye mchuzi?[emoji23][emoji23]Ugali dagaa hata mimi napenda ila sio unaweka mchuzi mwingi ukitumbukiza tonge inameguka huku dagaa wanapiga chenga kama unavua ziwani.
Dagaa likiwa dikodiko la nazi utanipata.
Ila chifu umekuja kibabe sidhani kama ungefanya jambo ilo kama ungekua unanifahamuSasa we jamaa hapa tunaongelea misosi au majina mkuu? Ukitaka ufatifi wa hizo mambo anzisha uzi mwingine tafadhali. We umeulizwa kwa nini unajiita katib mkoa ?
Alaf kati ya watu woooote umeona carbamazepine ndio umuulize...kaa kwa tahadhari. Sifikirii utapenda kuchezea BAN ya mwaka
Nililipenda tu nikaamua kujiita hivyoHivi uwa najiuliza kuhusu io jina ako kwanini ulijiita ivo?
Nisamehe chifu io jina iko na kitu kwenye maisha yangu na pm yake kafunga
Ndo nkamuuliza hapa
Bila io jina familia yangu haipoNililipenda tu nikaamua kujiita hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mkwara huu jamaniSasa we jamaa hapa tunaongelea misosi au majina mkuu? Ukitaka ufatifi wa hizo mambo anzisha uzi mwingine tafadhali. We umeulizwa kwa nini unajiita katib mkoa ?
Alaf kati ya watu woooote umeona carbamazepine ndio umuulize...kaa kwa tahadhari. Sifikirii utapenda kuchezea BAN ya mwaka
Usichukulie serious kila kitu mkuuIla chifu umekuja kibabe sidhani kama ungefanya jambo ilo kama ungekua unanifahamu
Usimshushe usie mjua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sam jamani,muache katibu bhanaDah! Bado unathubutu kutaja PM.
Narudia tena, sema msosi gani unaupenda kisha shabikia wengine wanapenda kitu gani, inatosha.
Uko sahihiUsichukulie serious kila kitu mkuu
nimepiga mchana ugali wa uwele uliochanganywa na dona mlenda wa karanga pamoja na uduvi uliokaangwa wenye pilipili acha kabisa!Ugali kwa mlenda, utelezi wake ni raha kwangu, matonge yanateleza tu na shibe ya uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app