Tuambie msosi unaoukubali sana

Tuambie msosi unaoukubali sana

rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Ndugu, napenda ndizi nyama za kuchemsha, zikiwekwa tui la nazi. Napenda sana nikipika pekeangu.[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Rosti ya chui na ndizi za kukaanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom