Hapo sawa..Kumbe kimoja tu mi kati ya hivyo nikila nakuwa safi,mfano leo nimejilia bonge la Tilapia na mchicha basi moyo mwororo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, napenda ndizi nyama za kuchemsha, zikiwekwa tui la nazi. Napenda sana nikipika pekeangu.[emoji4]rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Rosti ya chui na ndizi za kukaangarejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Heee[emoji15] [emoji15] [emoji15] hujawahi kula umejuaje sasa?ugali, na kitimoto ni kitamu sana japo sijawahi kula
Yeroooo njeree [emoji23] [emoji23] [emoji23]Loshoro safi iliyopoa. Nikimaliza natulia kidogo kisha nakunywa Lodwaa najiskia fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyoga kama huo naupata wapi? ( usinambie wa supermarket)View attachment 843393
Ugali+uyoga+kitimoto
Meona eeeh?....usinambie na pork unatumia?Halaf mi nikiwa nakula vitu navyovipenda naanza kujiambia asa tunakufa ili iweje jamani si tubaki hivi hivi niwe najilia hutu tuchakula,yaan huwa naumiaa
Sent using Jamii Forums mobile app