katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
USHAURI
INGEPENDEZA HIVI VITU VIJE NA PICHA
AU MNASEMAJE MAJIRANI ZANGU
INGEPENDEZA HIVI VITU VIJE NA PICHA
AU MNASEMAJE MAJIRANI ZANGU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama nakuona vile mimate inavyokudondokaJamani Antonio nakuja
Dude,,kiporo cha wali maharage acha kabisa aisee...Haujawahi kunikinai kamwe, usiombe upatiwe kiporo na chai ya rangi...
bwahaha.. haupo serious kabisa ndugu yanguugali, na kitimoto ni kitamu sana japo sijawahi kula
iko kipolo chako cha wali harage ukiongezee na chai ya rangi iliyokorea sukari kama vijiko vitatu ni hatari sana hapo mkuu! jasho lazima likutoke
hatuhatutaki wengine tuna njaa mkiweka na picha itakua maumivu kwetuUSHAURI
INGEPENDEZA HIVI VITU VIJE NA PICHA
AU MNASEMAJE MAJIRANI ZANGU
Ndo tatizo tu la viporo..pia tumbo kujaa gesiIla kama chembemoyo haiko vizuri kiungulia kinaweza kukupelekesha kiaina.
Hahahaha aya bishoohatuhatutaki wengine tuna njaa mkiweka na picha itakua maumivu kwetu
napinga
mbona umesahau na kachumbali ya mbilimbi pembeni una mjagi wa maji ya baridi, ndio kulimangia iyo sijui!Ugali bamia kuwe na nyama kavu au samaki wa kuchoma pembeni
Wali maharage
Sana tu mkuuHili chama kumbe lina wana wengi!
mkuu kama kuna picha watu watajing'ata ulimi humuUSHAURI
INGEPENDEZA HIVI VITU VIJE NA PICHA
AU MNASEMAJE MAJIRANI ZANGU