Tuambie siku ulipokutana na mke/mume ama mpenzi wako

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Hebu tuambiane hapa siku ya kwanza kukutana na mkeo,mumeo au mpenzi wako,

Mlikutana wapi na kwenye mazingira gani?

Ni kipi kilikuunganisha nae.
Ilikuwaje hadi mkawa wapenzi.

Karibuni.
 
Ngoja wanakuja masta usiwaze..mimi wa kwangu nimesahau mambo mengi...hahahah
Duh umesahau! Akikusikia ataondoka kisha anakupa ujumbe uende pale mlipokutaniaga ndo suluhu ipatikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…