Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hayupo hapa JF usiwazeDuh umesahau! Akikusikia ataondoka kisha anakupa ujumbe uende pale mlipokutaniaga ndo suluhu ipatikane.
Hahahahahaunataka utuandikie cv ama!!?
Naunga mkono hojaUkijibu swali comment inakuwa kubwa kuliko topic, ungetwambia kwanza wewe mkuu.
Tulikutana makaburini
kuna kanjia kapo makaburini sasa ndo katika pitapita zetu tukakutanaMlienda kumzika nani mkuu
Nan akuandie cv wew acha ushambaunataka utuandikie cv ama!!?