Tuambie Swali/Maswali fikirishi au ya msingi uliyowahi kuulizwa na mtoto mdogo kabisa

Tuambie Swali/Maswali fikirishi au ya msingi uliyowahi kuulizwa na mtoto mdogo kabisa

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Hey inakuaje mandugu humu ndani!?I hope mko poa..

Bila kupoteza muda kama heading inavosema,je ni swali au maswali gani ya msingi uliyowahi kuulizwa na mtoto mdogo hadi ukashangaa uyu mtoto kawaza nini hadi kuniuliza hili swali??..

Kwa upande wangu Mimi kuna katoto ka Dada angu kana miaka miwili hivi,,Siku moja tupo sebuleni tunaangalia taarifa ya habari ilikua saa mbili usiku,Sasa ilikua ni habari ya Rais Magufuli alikua anahutubia taifa kipindi yupo Chato,sasa uko Chato tukio lilichukuliwa Mchana ila huku UTV Azam TV likarushwa Usiku..

Sasa kale kadogo kakaniuliza "Mjomba mbona kwetu ni usiku alaf Kule kwa Magufuli ni mchana?"..Daah ikabidi nikajibu kwa ufasaha kakaelewa maana labda kalikua kanajua Yale ni matangazo Mubashara(Live)..

Karibuni


@NgarenaroBoy.
 
"Hivi watoto huwa wanatoka wapi?"

"Kama huyu James, aliingiaje tumboni mwa mama?"

Kijasho kilinitoka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom