Tuambie Tabia yako ya Kimya kimya, Sirini ambayo unahisi watu wengine hawaijui

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari

Je wewe tuambie tabia yako ya sirini ambayo watu na jamii inayokuzunguka unahisi hawajui.

Mimi binafsi tabia ya uchakataji, sehemu ninayoishi huwa najitahidi sana kuwa mstaarabu na jamii yangu najua kabisa hawajui vile kiwanda changu cha uchakataji kinavyofanya kazi,

Lakini Nje ya mtaa ninaoishi moto wangu wanaujua vyema.

Cc Zero IQ
 
Mara paap Wana JF wote watageuka kua wachakataji wa papuchi,wenye roho nzuri na wababe.
 
mimi ni muongo mpaka najiogopa! kama kuna pepo na moto huko juu! basi mlango wangu naujua!
daaah.ma napenda wanawake weupe tuu.mana huwa wananipandisha midadi chapu.na wenye wakalio makubwa pia.xa xa xa xah!!! nawasikitikia weus mana huwa najikaza tyuuu........black nisameheeni hiyo ndo siri yangu[emoji112][emoji112][emoji112]
 
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari

Je wewe tuambie tabia yako ya sirini ambayo watu na jamii inayokuzunguka unahisi hawajui.

Mimi binafsi tabia ya uchakataji, sehemu ninayoishi huwa najitahidi sana kuwa mstaarabu na jamii yangu najua kabisa hawajui vile kiwanda changu cha uchakataji kinavyofanya kazi,

Lakini Nje ya mtaa ninaoishi moto wangu wanaujua vyema.

Cc Zero IQ
Pamoja na utumishi wangu lakini napendana na warembo kibaaao, Wanasema yaani wewe shukuru kuwa ni Mtumishi!
 
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari

Je wewe tuambie tabia yako ya sirini ambayo watu na jamii inayokuzunguka unahisi hawajui.

Mimi binafsi tabia ya uchakataji, sehemu ninayoishi huwa najitahidi sana kuwa mstaarabu na jamii yangu najua kabisa hawajui vile kiwanda changu cha uchakataji kinavyofanya kazi,

Lakini Nje ya mtaa ninaoishi moto wangu wanaujua vyema.

Cc Zero IQ
Kamari, punyeto
 
Back
Top Bottom