Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari
Je wewe tuambie tabia yako ya sirini ambayo watu na jamii inayokuzunguka unahisi hawajui.
Mimi binafsi tabia ya uchakataji, sehemu ninayoishi huwa najitahidi sana kuwa mstaarabu na jamii yangu najua kabisa hawajui vile kiwanda changu cha uchakataji kinavyofanya kazi,
Lakini Nje ya mtaa ninaoishi moto wangu wanaujua vyema.
Cc Zero IQ