daaah.ma napenda wanawake weupe tuu.mana huwa wananipandisha midadi chapu.na wenye wakalio makubwa pia.xa xa xa xah!!! nawasikitikia weus mana huwa najikaza tyuuu........black nisameheeni hiyo ndo siri yangu[emoji112][emoji112][emoji112]mimi ni muongo mpaka najiogopa! kama kuna pepo na moto huko juu! basi mlango wangu naujua!
Pamoja na utumishi wangu lakini napendana na warembo kibaaao, Wanasema yaani wewe shukuru kuwa ni Mtumishi!Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari
Je wewe tuambie tabia yako ya sirini ambayo watu na jamii inayokuzunguka unahisi hawajui.
Mimi binafsi tabia ya uchakataji, sehemu ninayoishi huwa najitahidi sana kuwa mstaarabu na jamii yangu najua kabisa hawajui vile kiwanda changu cha uchakataji kinavyofanya kazi,
Lakini Nje ya mtaa ninaoishi moto wangu wanaujua vyema.
Cc Zero IQ
Kamari, punyetoKuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari
Je wewe tuambie tabia yako ya sirini ambayo watu na jamii inayokuzunguka unahisi hawajui.
Mimi binafsi tabia ya uchakataji, sehemu ninayoishi huwa najitahidi sana kuwa mstaarabu na jamii yangu najua kabisa hawajui vile kiwanda changu cha uchakataji kinavyofanya kazi,
Lakini Nje ya mtaa ninaoishi moto wangu wanaujua vyema.
Cc Zero IQ
ipi mwangu kama kawa iq mkuuPamoja na utumishi wangu lakini napendana na warembo kibaaao, Wanasema yaani wewe shukuru kuwa ni Mtumishi!
tupo wengii mkuu kumbePamoja na utumishi wangu lakini napendana na warembo kibaaao, Wanasema yaani wewe shukuru kuwa ni Mtumishi!
Yaani ni shiida.tupo wengii mkuu kumbe
Tataaminije hiki ulichokiandika???mimi ni muongo mpaka najiogopa! kama kuna pepo na moto huko juu! basi mlango wangu naujua!
Hata Hilo alilo andika kaongopa.Tataaminije hiki ulichokiandika???
ππππππππππUlozi
Mmmh!! Mndendeule kabisaaaaaaaa!Kutokuchepuka