Tuambie Unamiliki Gari bila kusema direct kwamba Una gari

Tuambie Unamiliki Gari bila kusema direct kwamba Una gari

Ukipita kwenye tuta kubwa ama kwenye njia yenye makorongo mengi roho huwa inaumaga sana
 
Mkuu umeona mkeka wa masaki kule cocobeach ule mkeka umetengenezwa grade A tutamiss sana JPM. Nilijikuta nimefika 120kph afu ngoma naona kama haikimbiii[emoji28][emoji28][emoji28] imetulia road. Ule mkeka kwangu naupa no1
Mbona pafupi sana pale?
Hakuna Km 10 kwenye ule mkeka
 
Wakuu hivi Dar to mbeya ni KM , na nikitoka saa kumi jioni natoboa saa ngapi? Kama nitaendesha mwendo wa serikali
Dar Uyole, Mbeya ni KM 850 kama masaa ya serikali utatumia masaa 15
 
Kuna trafiki Kanisimamisha nikapaki pembeni akaja, nikamshushia kioo akabaki ameduwaa Mimi simo kwenye gari iko tupu kitu kilikuwa kinajiendesha chenywe.

Wala sikupoteza muda nikapandisha kioo chuma ikaondoka hapo inamfata wife Ni muoga kuendesha na Mimi sitaki kuajiri dereva wakati chuma zinazojiendesha zipo na hela zipo.

Najua Yule trafiki atakuwa alienda kusimulia watu wote anao wajua na Kama yupo humu atakuwa amesha anzisha uzi kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom