Tuambie Unamiliki Gari bila kusema direct kwamba Una gari

Tuambie Unamiliki Gari bila kusema direct kwamba Una gari

Nimeambiwa niweke rim za kijanja ila mi nakomaa nazo hizihizi za Japan hamna shida
 
Dah leo siku ya service lakini mshale unasoma full tank acha nitumie mpaka yakiwa empty ndio nimpelekee fundi anazinguaga ukimpelekea na wese anatumia lote anakurudishia mshale uko kwenye empty.
 
Back
Top Bottom