Dunamist
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 474
- 686
Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata.
Halafu pia eti, Range rover huwa hazipinduki, eti kwa sababu tairi zake huwa zinatanuka gari ikitaka kupindiuka au ikiwa inakata kona kali ikiwa speed.
Mlionilisha haya matango pori hamuendi mbinguni.