Tuambie visa vya bodaboda ulivyowahi kukutana navyo

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Kwako mdau ebu tuweke je umewahi kushuhudia au kutokewa na kisanga kipi kwa awa madereva wa pikipiki yaani bodaboda ambacho uwezi kukisahau maishani mwako
 
Niliwahi kuondoka na uhai wa mmoja wao.Inaniuma na huwa sipendi kulikumbuka hili tukio kwani alikufa vibaya sana.

To cut the story alikuwa analeta mambo ya freestyle barabarani na kama unavyowajua wakiamua lao hakuna wa kuwaambia kitu.

Nkahangaika mpaka nkapita kwa mbele sana nkakutana na chalii yao ambae yeye alikuwa anafanya makusudi kabisaa nlichofanya ni kukanyaga accelerator kwa hasira and the rest is a story.
 
Niliwahi kuondoka na uhai wa mmoja wao.Inaniuma na huwa sipendi kulikumbuka hili tukio kwani alikufa vibaya sana.To cut the story alikuwa analeta mambo ya freestyle barabarani na kama unavyowajua wakiamua lao hakuna wa kuwaambia kitu.Nkahangaika mpaka nkapita kwa mbele sana nkakutana na chalii yao ambae yeye alikuwa anafanya makusudi kabisaa nlichofanya ni kukanyaga accelerator kwa hasira and the rest is a story.
Mzee Kumbe ulikua na uwezo wakusimama hio roho mbaya na nimauaji Sio Ajali damu yake Bdo itakulilia,
On the other hand mm nshawah mkosa kosa Boda Boda daraja LA mfugale kwa chini nimetoka zangu airport jamaa huyu Hapa na mm nimeruhusiwa na nipo speed ilibidi tu nikanyage brake Mpaka zile pedal nazisikia kabsa zikibana matairi na bahati nzuri yule Boda nae akakamata brake zake zikakubali aisee alinishukuru sana yule jamaa akawa haaminii.
 
uliua kwa makusudi na bado unajisifia! malipo ni hapahapa mkuu
 
Mzee Kumbe ulikua na uwezo wakusimama hio roho mbaya na nimauaji Sio Ajali damu yake Bdo itakulilia,
On the other hand mm nshawah mkosa kosa Boda Boda daraja LA mfugale kwa chini nimetoka zangu airport jamaa huyu Hapa na mm nimeruhusiwa na nipo speed ilibidi tu nikanyage brake Mpaka zile pedal nazisikia kabsa zikibana matairi na bahati nzuri yule Boda nae akakamata brake zake zikakubali aisee alinishukuru sana yule jamaa akawa haaminii.
Siwezi kuandika yote ila nayoweza kukwambia ni kwamba nilitumia dk25 kwenye eneo la 1km huku nikiporomoshewa matusi kila nilipowaomba kupita.Nilikuwa na ushahidi wa video na ndo ulifanya nikashinda kesi ile japo kiubinadamu naipiga tafu familia yake
 
Askof tza
 
Ila Bdo haukua na haki yakuua
 
Niliwahi kuondoka na uhai wa mmoja wao.Inaniuma na huwa sipendi kulikumbuka hili tukio kwani alikufa vibaya sana.

To cut the story alikuwa analeta mambo ya freestyle barabarani na kama unavyowajua wakiamua lao hakuna wa kuwaambia kitu.

Nkahangaika mpaka nkapita kwa mbele sana nkakutana na chalii yao ambae yeye alikuwa anafanya makusudi kabisaa nlichofanya ni kukanyaga accelerator kwa hasira and the rest is a story.
Ulikosea
 
Siwezi kuandika yote ila nayoweza kukwambia ni kwamba nilitumia dk25 kwenye eneo la 1km huku nikiporomoshewa matusi kila nilipowaomba kupita.Nilikuwa na ushahidi wa video na ndo ulifanya nikashinda kesi ile japo kiubinadamu naipiga tafu familia yake
Hatari Mzee Hawa bodaboda hawa
 
Niliwahi kuondoka na uhai wa mmoja wao.Inaniuma na huwa sipendi kulikumbuka hili tukio kwani alikufa vibaya sana.

To cut the story alikuwa analeta mambo ya freestyle barabarani na kama unavyowajua wakiamua lao hakuna wa kuwaambia kitu.

Nkahangaika mpaka nkapita kwa mbele sana nkakutana na chalii yao ambae yeye alikuwa anafanya makusudi kabisaa nlichofanya ni kukanyaga accelerator kwa hasira and the rest is a story.
Aisee
 
Unahalalisha kuua,ni umeua wewe ni muuaji
 
kunuka mdomo.
baadhi ya vijana wa bodaboda hawazingatii usafi wa kinywa.

hili linajidhirisha pale unapobebwa na bodaboda ambaye ni mtu wa kupiga story.

harufu mbaya ya kinywa chake yote inaishia kwako wewe abiria ambaye kakubeba.inakera sana.
 
ukimiliki bodaboda una tofauti kumiliki madawa ya kulevya maana lile tank la mafuta litakupelekea kupinda kidogo
 
Back
Top Bottom