Tuambie visa vya bodaboda ulivyowahi kukutana navyo

Tuambie visa vya bodaboda ulivyowahi kukutana navyo

Mi mwenyewe nishawahi kuwa bodaboda



Niseme tu waangalieni sana wake zenu


Nafuu wapande daladala
 
Mzee Kumbe ulikua na uwezo wakusimama hio roho mbaya na nimauaji Sio Ajali damu yake Bdo itakulilia,
On the other hand mm nshawah mkosa kosa Boda Boda daraja LA mfugale kwa chini nimetoka zangu airport jamaa huyu Hapa na mm nimeruhusiwa na nipo speed ilibidi tu nikanyage brake Mpaka zile pedal nazisikia kabsa zikibana matairi na bahati nzuri yule Boda nae akakamata brake zake zikakubali aisee alinishukuru sana yule jamaa akawa haaminii.
Tatzo ni pale unapomkwepa mtu afu wew unaenda kuanguka au kugongwa kwa nyuma
 
Ngoja sisi Madereva wa bodaboda tutulie tuone mnavyotusema
 
Tatzo ni pale unapomkwepa mtu afu wew unaenda kuanguka au kugongwa kwa nyuma
mkuu sio tu kuhatarisha maisha hivi kweli unaweza kutumia nusu saa kumaliza 1km tena kwenye highway huku ukisindikizwa na matusi ya nguoni.Mungu mwenyewe alishasamehe
 
Back
Top Bottom