Tuambie visa vya bodaboda ulivyowahi kukutana navyo

Mi mwenyewe nishawahi kuwa bodaboda



Niseme tu waangalieni sana wake zenu


Nafuu wapande daladala
 
Tatzo ni pale unapomkwepa mtu afu wew unaenda kuanguka au kugongwa kwa nyuma
 
Ngoja sisi Madereva wa bodaboda tutulie tuone mnavyotusema
 
Tatzo ni pale unapomkwepa mtu afu wew unaenda kuanguka au kugongwa kwa nyuma
mkuu sio tu kuhatarisha maisha hivi kweli unaweza kutumia nusu saa kumaliza 1km tena kwenye highway huku ukisindikizwa na matusi ya nguoni.Mungu mwenyewe alishasamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…