Tuambie vitu vitatu unavyovitarajia msimu mpya wa ligi za Ulaya

1.Man united kutwaa ubingwa wa EPL
2.Liverpool kumaliza nafasi ya pili
3.Chelsea kuwa timu ya kwanza kufukuza kocha.
4.Arsenal kufuzu kucheza europa kwa mara nyingine.
5.Man city kumaliza msimu katika nafasi ya tatu.
6.Spurs kumaliza ndani ya top four kwa mara nyingine.
 
1.Arsenal kufungwa big match zote
2.Liverpool kufungwa na Man united nje ndani
3.Spurs kuongoza ligi wiki ya kwanza ya ufunguzi wa ligi.
 
Bangi hiyo wale wachezaji wa swanswea wakupe ubingwa?
 
1.man city kubeba UEFA
2.GREIZIMAN UFUNGAJI BORA LALIGA
3.MANCHESTER UNITED KUMALIZA NAFASI YA 15
 
1.Man united kutwaa ubingwa wa europa
2.Ubingwa wa uefa kutwaliwa kwa mara nyingine na timu mojawapo kutoka uingereza.
3.PSG kwa mara nyingine tena kutolewa hatua ya 16 bora kwenye uefa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…