Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha apo kwenye utd umepotea sana.1.Man united kutwaa ubingwa wa EPL
2.Liverpool kumaliza nafasi ya pili
3.Chelsea kuwa timu ya kwanza kufukuza kocha.
4.Arsenal kufuzu kucheza europa kwa mara nyingine.
Game ya kwanza ana villa.1.Arsenal kufungwa big match zote
2.Liverpool kufungwa na Man united nje ndani
3.Spurs kuongoza ligi wiki ya kwanza ya ufunguzi wa ligi.
Aisee hapo anaweza akavuna alama 11kati ya 18.Game ya kwanza ana villa.
Zinazofata;
City away
Newcastle home.
Arsenal away
Palace home
Leicester away
Bangi hiyo wale wachezaji wa swanswea wakupe ubingwa?1.Man united kutwaa ubingwa wa EPL
2.Liverpool kumaliza nafasi ya pili
3.Chelsea kuwa timu ya kwanza kufukuza kocha.
4.Arsenal kufuzu kucheza europa kwa mara nyingine.
5.Man city kumaliza msimu katika nafasi ya tatu.
6.Spurs kumaliza ndani ya top four kwa mara nyingine.
Muda utasema.Bangi hiyo wale wachezaji wa swanswea wakupe ubingwa?