Tuambie vitu vitatu unavyovitarajia msimu mpya wa ligi za Ulaya

1.Man united kutwaa ubingwa wa europa
2.Ubingwa wa uefa kutwaliwa kwa mara nyingine na timu mojawapo kutoka uingereza.
3.PSG kwa mara nyingine tena kutolewa hatua ya 16 bora kwenye uefa.
1)Super comeback nyingine kufanyiwa barca.
2) Tatizo kujulikana kuwa ni valvede
3) licha ya usajili madrid kutolewa 8 na timu ya epl
 
Vituko vya var msimu ujao.
Handball
Offside
Big screen.

Natarajia liverpool kurudishwa point zao za miaka yote.
 
Man City au Tot mmoja anaweza kuchukua moja kati ya EPL, UEFA au FA.

Arsenal anaenda kuwa kibonde wa top 4

Leicester anashika nafasi ya 6

Chelsea na Lampard kuwashangaza wengi

Man Utd kushiriki tena Europa msimu unaokuja baada ya msimu ujao.

Liverpool anachukua any mickey mouse cup.
 
Hazard anaenda kuwa mshindani wa Messi.

Luca Jovic atashindanishwa na Suarez kwanye ufungaji.

Borrusia Dortmund itang'ara Bundesliga na UEFA.

Natabiri msimu mbovu kwa PSG, Bayern, Man Utd, ARSENAL, Napoli.

Pia utakua msimu mzuri kwa Sarri na Juve yake pua Zidane na Madrid yake.
 
1:Man United kufukuza kocha mzunguko wa 14.

2:Arsenal atapigwa hat trick na mchezaji mmoja kwenye moja ya game za EPL.

3:Liverpool itaandamwa na majeruhi kwenye safu yake ya kiungo na ushambuliaji.

4:Bingwa atakuwa na tofauti ya alama kuanzia 7 dhidi ya timu namba mbili.

5:Mfungaji bora atakuwa na magoli 23.

6:Ushindi mkubwa utakuwa 6-0 na Man City ndiye ataupata dhidi ya timu mojawapo ya EPL.

7:OGS atapitia wakati mgumu akitakiwa na mashabiki aachie ngazi.

8:Wolves wataichakaza Arsenal hamtaamini.

9:Mourinho ataidhihaki United.

10:Chelsea watategemea Giroud kama mkombozi wao ila atakuwa na msimu mbovu na atapata magoli 9 tu.
 
Nipe top 4
 
El clasiko inaweza kunoga tena..
 
1.man city
2.tottenham
3.liverpool
4.chelsea
5.man utd
6.arsenal
 
1) Samatta kukaa benchi mpaka Watanzania tuanze kuandamana...
2) Man United kushangaza watu na timu yao mbovu...
3) Man City kubeba tena "takataka" zote za Uingereza...

*Utabiri kuhusu Samatta utatimia endapo tu atafanya uamuzi wa kujiunga na Leicester City..!
 
Hoja ni ligi za Ulaya. Vikojozi vimekomaa na ligi ya uingereza. Hizi kamari zinawapoteza sana vijana wetu
 
Hizo ulivyoandika ni vitatu?
 
Tutakuwa kama wa algeria na mahrez mitandaoni
 
Achague kuonekana uefa mechi kadhaa ama epl.
Na tutapiga kweli kelele akiwa benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…