goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
- Thread starter
- #21
1)Super comeback nyingine kufanyiwa barca.1.Man united kutwaa ubingwa wa europa
2.Ubingwa wa uefa kutwaliwa kwa mara nyingine na timu mojawapo kutoka uingereza.
3.PSG kwa mara nyingine tena kutolewa hatua ya 16 bora kwenye uefa.
2) Tatizo kujulikana kuwa ni valvede
3) licha ya usajili madrid kutolewa 8 na timu ya epl