Cha msingi baba hapo kwenye kila bunda nichomolee wekundu watatu na Mimi niienjoy wikiendSina wala situmii walet. Huwa natembea na cash. Nipo Iringa baridi kali tangu mchana nimejifungia lodge naperuzi tu jf. Ndio nataka nitoke muda huu nikaanzie wikiend kiwanja fulani kinaitwa warm up
nikajaze maji nicheze mpira🤗zitoe hapo
sasa nifanyie nini jamani 😆hapana kwanini uharibu protective gear
mimi mwenyewe siachi mama, na bado nitapiga nazo picha 😆
Bare back ndio mpango mzima kama hujavaa kitu vile na imara sana ila matumizi ya mipira nimeacha
Makhoja ni manini tena jamani?Vaa "Makhoja" mikononi, na miguuni , afu piga picha uposti hapa. 😊
Haina tabu, iko wapi?njoo na restaurant yetu tupate tip jamani
Sure siuwezi na si mara ya kwanza kukuambia siwezi ku weka battle na wewe dhidi ya hili.That is condescending.
Unaniambia sijakamilika mpaka niamini Mungu.
Wakati mimi nakuona wewe mjinga kwa kuamini Mungu.
Na mpambano huu kimantiki huuwezi.
Serikali ya US inathamini uhuru wa watu kuamua wanakaa wapi.Duuu!!!!
Kumbe ukichukua uraia wa Us, ukitaka kurudi bongo ni kwa mbinde, mpaka ulipie nilikua sijui.
Mi nilikua nadhani ukijisikia kuja bongo unakuja tu, na unatawala kama upo ghetto kwako.
Swali: Vipi kama umeishi us miaka mingi, ukachoka ukaamua kurudi bongo, ukifika Bongo unaamua kuzamia mazima, unazamia labda huko shinyanga vijijini.
Serikali yako ya US inaweza ikakutafuta?
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.Sure siuwezi na si mara ya kwanza kukuambia siwezi ku weka battle na wewe dhidi ya hili.
Ila kadhalika mimi nakuona u mpungufu na si mjinga kama ulivyo niona mimi, ila iwavyo bado upo chini ya mwavuli wa baraka za Mungu.
Pongezi sana.
Rais wa Chanika wacha kujificha Don D.acha kuzua taharuki
Hatua ya kwanza ilikua ni lazima kukaririshwa, ila baadae unapo pata ufahamu kuna namna una jiuliza haya niliyo karirishwa yana ukweli?Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.
Unamsema yupo kwa kukariri hadithi na kuzirudia tu.
Bisha.
Huwezi kuthibitisha, umekariri, tena umekariri uongo.Hatua ya kwanza ilikua ni lazima kukaririshwa, ila baadae unapo pata ufahamu kuna namna una jiuliza haya niliyo karirishwa yana ukweli?
Na baadhi ya ushahidi wa kimazingira unaona hamna namna ulimwengu unakosa kuwepo kwa Mungu.
Hata hivyo sina namna itakayo faa kuthibitisha uwepo wa Mungu unavyo taka wewe.
DDj Khaled 😂 not khalifa
Shaka ondoa😉Nakutumia namba unirushie nywkundu moja