Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

Card ya bank, nida id, vote id, silver : (zambia, singapore, kenya), 42k tsh
 
Sasa si useme unatumia nini, Gentleman! Matajiri mkoje lakini! 😊
unaelewa wakati niko sec.school nilikua naitwa boss mtoto, nilikua na wallets kadhaa kila mtoko nakua natoka na wallet yake, but huko ndani inaenea tupesa tudogo mno,

kadiri nilivyokua nagrowup ndivyo wallets zilivyokua zinalemewa na tupesa, tena tudogo tu,
mageuzi ya teknilojia yalivyoingia akilini mwangu wallet ikakosa maana na kupoteza thamani na inaonekana kama mzigo tu,

sasa hivi masuala yote electronically, ukishakua na smartphone au kitochi nini inashindikana gentleman?

kila aina ya kitambulisho chako kimo ndani ya smartphone yako, kila aina ya malipo yanafanyika electronically kwa smartphone yako, wallet ya nini gentleman, mi naona labda inafanya tako moja kua limevimba kuliko lingine tu bila sababu yoyote?

hiyo ni sawa kweli??🐒
 
tulitenge juu ya meza kama bia tunywee mpaka liishe😎
Wewe ni msukuma wa wapi?
GF wangu kwanza nikiwa nachukua cheti cha ukarani alikuwa ni binti wa kisukuma kutoka Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…