Humu wengi pipa na mfuniko, hatuoni wallet zaidi ya maneno!!¡¡ Ooh sijui transfer money sijui mobile.Naanza kupata hisia kama wanavosa jf imejaa wanawake wabaya basi pia imejaa wanaume hoe hae 🤣🤣🤣
Tujiandae kwenda ma mbele kupeleka mwali mwenye bikra yake.Mi nipo. 😊
wewe unanijua? uliniona wapi mpaka ujitie kunijua?Yule ex wangu hakuwa chakaramu kama wewe.
Wewe umechangamka sana hadi umepitiliza.
Tujiandae kwenda ma mbele kupeleka mwali mwenye bikra yake.
wewe unanijua? uliniona wapi mpaka ujitie kunijua?
acha kuzua taharukidronedrake tajiri Mzee wa Dinar, uko na pesa nyingi unafichiaga wapi ?
haziwe toboka mzeeUnatumiaje Zana mkuu ! Rough rider ndo mpango mzima.... ama 3bomba zile black !!!!
Hayo kwanza makavu, hayana mafuta ya kutosha, plus kijiharufu !!!! Pia kwa ushauri ndom usiwe unaweka kwenye walet, unaweza kukaa mara ukIdisturb ama kuichuna ikatoboka !!
Aunt hakuna ela ya Bure😆Wallet sina, ila nyie wenye hela mkinipunguzia hizo mlizonazo nitaweka kwenye mfuko wa sketi 😎
View attachment 3602546
nakuona unajitia ujuaji kwa mtu ambaye humjui kisa maneno ya kuandika!Sema kimeumana.
Dada mbona umekuwa mkali?
Haya sasa kumekucha! leo dada gudubaii..Suala la kutembea na walet mimi ndio limenishinda kabisa. Habari za kukaa kwenye kiti tako moja lipo juu hapana kwa kweli. Kama kuna ulazima wa kutoka na bulk cash basi nitaziacha kwenye gari pamoja na vitambulisho vyote. Mfukoni nabaki na hela ndogo tu kama 50K kwa ajiri ya matumizi ambayo siwezi kufanya electronically.
Tako Moja kukaa juu ni mwisho😆 wa mwezi kwa wale wanaokinga mwisho mwezi.Suala la kutembea na walet mimi ndio limenishinda kabisa. Habari za kukaa kwenye kiti tako moja lipo juu hapana kwa kweli. Kama kuna ulazima wa kutoka na bulk cash basi nitaziacha kwenye gari pamoja na vitambulisho vyote. Mfukoni nabaki na hela ndogo tu kama 50K kwa ajiri ya matumizi ambayo siwezi kufanya electronically.
Post haijalenga jinsia. Hata wanawake pia mna walet ingetosha kusema wewe kwenye walet yako kuna nini bila kuwasema hao uliowataja.Humu wengi zao Zina sound,,,,,
Ukifungua badala ziwe na noti zilipe bill zao a milio hii.
1 kataa ndoa
2 kataa omba omba
Kataa mwanamke maskini
3 ukipewa kojoa pita hivi
4 kataa single mama
5 zinasubiri mkeka utiki